Jumuiya ya Watanzania Rome, imepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za msiba wa bwana Twahir Hussein Omari, maarufu kwa wengi kwa jina la MBOGA ZOTE. Marehemu ambaye ni mkazi wa Modena alifariki mjini Napoli jana tarehe 4 Jan. ambapo alikuwa kwenye likizo la kipindi hichi christmas na mwaka mpya.Ili mwili wa marehemu uweze kupelekwa nyumbani, Tanzania, Uongozi wa Watanzania Rome umeitisha mkutano wa dharura
Tutazidi kuwahabarisha kadri tutakavyo pata maendeleo ya michango na mengineyo.
Mwenyezi mungu amlaze marehemu mahala pema peponi, Amina.

No comments:
Post a Comment