Pages

log with Fire

WELCOME TO TANZANIA
Tanzanian Community in Rome, Via GIUSEPPE DI VITTORIO 9, 00067 MORLUPO, Rome, Italy -- Sasa Mnaweza kuweka Michango yenu ya mwezi kwenye account ya Jumuiya: Banki ya Posta:Associazione dei Tanzaniani a Roma Acc. Number 000007564174 Codice Fiscale: 97600810580 ---

welcome to Tanzania

TANZANIAN COMMUNITY IN ROME (TZ-RM,) is a community that unites TANZANIANS living in Rome and those living outside of Rome who have read, understood and accepted the content of its Constitution and hence becoming part of the community's family. Tanzanian Community in Rome is a fruit of the well designed ideas, approved by all community members at the Community's First General Meeting held on the 30th January, 2010. It is a non-political, non-religious, non-ethnical and non-gender based kind of organization. It is a community that democratically, accepts and respects different ideas from all its members without any sort of segregation.
Tanzanian Community in Rome counts alot on members monthly contributions in order to keep the community alive.But all in all, it appreciates any sort of contribution from anyone.

Sunday, November 13, 2011

TANGAZO


Tangazo Muhimu kwa wanajumuiya wa Jumuiya ya Watanzania Rome
Uongozi wa Jumuiya ya Watanzania Rome, unapenda kuwakumbusha Wanajumuiya wa Jumuiya ya Tanzania Rome juu ya Mkutano Mkuu wa kufunga mwaka siku ya jumamosi tarehe 19th Nov. 2011 kuanzia saa tisa mchana mpaka saa tatu usiku. Wanajumuiya mnaombwa mfike wote ili tuweze kujadili maswala mbalimbali juu ya Jumuiya na kushiriki kwenye uchaguzi wa viongozi, ambapo wanajumuiya hai tu ndio watakao ruhusiwa k...upiga kura na kuchaguliwa kuwa viongozi. kwa wale wote ambao wanataka kushiriki kwenye mkutano huu, mnaombwa muwasiliane na Katibu ili muweze kujua utaratibu mzima wa Mkutano huu ambao utaambatana na sherehe. Kwenye sherehe kutakuna na Burbeque, Vinywaji na Muziki. Kwa wale ambao sio wanajumuiya na wataka kushiriki tafadhali mnaombwa muwasiliane na Katibu wa Jumuiya ndugu Andrew Chole Mhella kuweza kujua mnaitaji kufanya nini ili muweze kushiriki kwenye Mkutano huu.

Katibu,
Andrew Chole Mhella
Cell.3479094800
watanzaniaroma@yahoo.it
www.watanzania-roma.blogspot.com

No comments:

Post a Comment