Hapa Msanii Diamond akitoa burudani ndani ya Miss Tanzania 2011.
Hapa Mamiss wakipita na kwenye stage.
Watu KeDeKeDe walikuwepo kuudhulia shindano ili.
Hapa dada Esther wa City Star Boutique, Interview na Star Tv muda mchache kabla ya kuingia ukumbini.
Ili ndio Gari alilojinyakulia miss Tanzania.
PICHA ZA HAPA CHINI NI ZA BAGAMOYO
No comments:
Post a Comment