
Timu ya AC Milan wamefanikiwa kunyakua kombe la Italian Supercup baada ya kuwachabanga bila huruma Inter-Milan kwenye mechi iliyofanyia nchini China tarehe 06-08-2011 kwa mabao 2-1. Goli la Inter lilifungwa na Mchezaji machachali Shneider kwenye kipindi cha kwanza kwa shuti kali liliompita kipa wa AC Milan Abbiati. Magoli ya AC Milan yalifungwa kipindi cha pili na Zlatan Ibrahimovic na Prince Boatang.
No comments:
Post a Comment