Pages

log with Fire

WELCOME TO TANZANIA
Tanzanian Community in Rome, Via GIUSEPPE DI VITTORIO 9, 00067 MORLUPO, Rome, Italy -- Sasa Mnaweza kuweka Michango yenu ya mwezi kwenye account ya Jumuiya: Banki ya Posta:Associazione dei Tanzaniani a Roma Acc. Number 000007564174 Codice Fiscale: 97600810580 ---

welcome to Tanzania

TANZANIAN COMMUNITY IN ROME (TZ-RM,) is a community that unites TANZANIANS living in Rome and those living outside of Rome who have read, understood and accepted the content of its Constitution and hence becoming part of the community's family. Tanzanian Community in Rome is a fruit of the well designed ideas, approved by all community members at the Community's First General Meeting held on the 30th January, 2010. It is a non-political, non-religious, non-ethnical and non-gender based kind of organization. It is a community that democratically, accepts and respects different ideas from all its members without any sort of segregation.

Tanzanian Community in Rome counts alot on members monthly contributions in order to keep the community alive.But all in all, it appreciates any sort of contribution from anyone.

Sunday, May 22, 2011

SHEREHE YA MUUNGANO NA UTAMADUNI WA TANZANIA YAFUNIKA MJINI ROMA

Ile Sherehe ya Muungano na Utamaduni wa Tanzania ambayo ilikuwa inasubiliwa kwa hamu sana na watu wengi, jana (21/05/2011)ilifunika sana ambapo mamia ya watanzania, wageni toka nchi mbalimbali na NGOs za kitaliano zifanyazo kazi Tanzania kuudhulia kikamilifu.Sherehe hii ilifanyika kwenye ubalozi wa Tanzania mjini Roma kuanzia saa kumi jioni. Mgeni rasmi alikuwa ni kaimu balozi Mh. Salvatory Mbilinyi ambaye alitoa speech nzuri sana juu ya muungano kati ya Tanzania bara na visiwani na umuhimu wa Watanzania kwa pamoja kudumisha utamaduni wetu. Maonyesho ya mavazi ndio yalifunika kwa sana na pia chakula cha kitanzania kilifurahiwa na wengi. Kwa niaba ya mwenyekiti wa jumuiya na uongozi wa Jumuiya ya Watanzania Rome kwa ujumla napenda kuwashukuru sana wale wote waliotusaidia kufanikisha sherehe hii kwa namna moja au nyingine. Shukrani za dhati ziende kwa ubalozi wetu kwa msaada wa hali na mali waliotupatia. Mungu Ibariki Africa Mungu Ibariki Tanzania.
Katibu,
Andrew Chole Mhella
Mh. Kaimu Balozi Mh. Salvatory Mbilinyi akielezea umuhimu wa muungano na kudumisha utamaduni wa Tanzania.


WAKATI WA MAONYESHO MBALIMBALI YA MAVAZI YA KITANZANIA.





MMOJA WA WASHINDI WA BAHATI NASIBU BI. EVELYN AKIJINYAKULIA DIGITAL CAMERA YAKE.









No comments:

Post a Comment