Pages

log with Fire

WELCOME TO TANZANIA
Tanzanian Community in Rome, Via GIUSEPPE DI VITTORIO 9, 00067 MORLUPO, Rome, Italy -- Sasa Mnaweza kuweka Michango yenu ya mwezi kwenye account ya Jumuiya: Banki ya Posta:Associazione dei Tanzaniani a Roma Acc. Number 000007564174 Codice Fiscale: 97600810580 ---

welcome to Tanzania

TANZANIAN COMMUNITY IN ROME (TZ-RM,) is a community that unites TANZANIANS living in Rome and those living outside of Rome who have read, understood and accepted the content of its Constitution and hence becoming part of the community's family. Tanzanian Community in Rome is a fruit of the well designed ideas, approved by all community members at the Community's First General Meeting held on the 30th January, 2010. It is a non-political, non-religious, non-ethnical and non-gender based kind of organization. It is a community that democratically, accepts and respects different ideas from all its members without any sort of segregation.

Tanzanian Community in Rome counts alot on members monthly contributions in order to keep the community alive.But all in all, it appreciates any sort of contribution from anyone.

Thursday, April 21, 2011

FILAMU YA KIKATUNI "MANZESE" INATAFUTA WASAMBAZAJI WA KUIINGIZA SOKONI



Ile filamu iitwayo MANZESE iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu sana imekamilika.

Dr. Boniface Mhella ambaye ni mjumbe wa Jumuiya ya Watanzania Roma amekamilisha film yake yenye mandhali ya kikatuni, inayokwenda kwa jina la "Manzese". Sasa hivi Dr. Boniface yupo kwenye harakati za kutafuta wasambazaji wanaoeleweka watakao fanya nae kazi.

Filamu hii ni ya kutungwa na ni yenye kufurahisha, kusikitisha na vile vile kuleta matumaini. Inamuhusu mwanamume aitwae KINDUNDE. Kwa kifupi tu ni kwamba, Kindunde baada ya kuchoshwa na hali ya umasikini na ya maisha duni ya Manzese, aliamua kuangalia uwezekano wa kuitengeneza Manzese kuwa mji mpya.

Wasambazaji na wadau mbalimbali mnaweza kumtafuta kwa e-mail bonn-j@hotmail.com, ili muweze kushauriana nae na kisha kuisambaza film hii mpya na malidadi kabisa.

NB: Pamoja na kwamba Manzese ni mji wa kiukweli, filamu hii ni hadithi ya kutungwa isiyo na uhusiano wowote na mtu yeyote wa manzese.

No comments:

Post a Comment