Pages

log with Fire

WELCOME TO TANZANIA
Tanzanian Community in Rome, Via GIUSEPPE DI VITTORIO 9, 00067 MORLUPO, Rome, Italy -- Sasa Mnaweza kuweka Michango yenu ya mwezi kwenye account ya Jumuiya: Banki ya Posta:Associazione dei Tanzaniani a Roma Acc. Number 000007564174 Codice Fiscale: 97600810580 ---

welcome to Tanzania

TANZANIAN COMMUNITY IN ROME (TZ-RM,) is a community that unites TANZANIANS living in Rome and those living outside of Rome who have read, understood and accepted the content of its Constitution and hence becoming part of the community's family. Tanzanian Community in Rome is a fruit of the well designed ideas, approved by all community members at the Community's First General Meeting held on the 30th January, 2010. It is a non-political, non-religious, non-ethnical and non-gender based kind of organization. It is a community that democratically, accepts and respects different ideas from all its members without any sort of segregation.
Tanzanian Community in Rome counts alot on members monthly contributions in order to keep the community alive.But all in all, it appreciates any sort of contribution from anyone.

Sunday, March 6, 2011

Utamaduni wa Kinyarwanda wapamba moto Italy

Majirani zetu tokea Rwanda wanastaili sifa kwenye kutangaza na kudumisha utamaduni wa nchi yao wakiwa nje ya nchi yao.Huu unapaswa kuwa mfano na fundisho la kuigwa na sisi Watanzania tuliopo ughaibuni ili uweze kuutangaza utamaduni wetu nje ya Tanzania. Kwa kutangaza utamaduni wetu, tutawavutia watalii wengi kwenda kuitembelea nchi yetu. Mfano mzuri niliuona jana kwenye harusi ya rafiki yangu, Ndugu Jean Pierre Ruhigisha na Bi. Simona Palazzo, iliyofanyika kwenye kanisa la Saint Maria di Trastevere. Wanarwanda walikuwa wakicheza ngona za kikwao kikamilifu huku wakiwa wamevaa nguo sale.Waudhuliaji wengi tulivutiwa sana na umaili wa hawa ndugu na kutaka kujua zaidi juu ya utamaduni huu. Si kitu kigumu kwetu sisi watanzania kukifanya tunaitaji kuwa na moyo wa kujituma na wa kujivunia Utamaduni wetu. Mungu Ibariki Africa, Mungu Ibariki Tanzania.( Katibu, Andrew Chole Mhella)No comments:

Post a Comment