Pages

log with Fire

WELCOME TO TANZANIA
Tanzanian Community in Rome, Via GIUSEPPE DI VITTORIO 9, 00067 MORLUPO, Rome, Italy -- Sasa Mnaweza kuweka Michango yenu ya mwezi kwenye account ya Jumuiya: Banki ya Posta:Associazione dei Tanzaniani a Roma Acc. Number 000007564174 Codice Fiscale: 97600810580 ---

welcome to Tanzania

TANZANIAN COMMUNITY IN ROME (TZ-RM,) is a community that unites TANZANIANS living in Rome and those living outside of Rome who have read, understood and accepted the content of its Constitution and hence becoming part of the community's family. Tanzanian Community in Rome is a fruit of the well designed ideas, approved by all community members at the Community's First General Meeting held on the 30th January, 2010. It is a non-political, non-religious, non-ethnical and non-gender based kind of organization. It is a community that democratically, accepts and respects different ideas from all its members without any sort of segregation.

Tanzanian Community in Rome counts alot on members monthly contributions in order to keep the community alive.But all in all, it appreciates any sort of contribution from anyone.

Sunday, March 13, 2011

Mkutano wa Maandalizi ya Sherehe za Muungano na Utamaduni wa Tanzania wafana mjini Roma

Wajumbe pamoja na wanajumuiya wa jumuiya ya Watanzania Roma jumamosi tarehe 12 Machi walikutana kwa mara ya kwanza kujadili juu ya maandalizi ya sherehe za muungano na za kuutangaza utamaduni wa Mtanzania zitakazofanyika kwa pamoja tarehe 30 aprili 2011. Mahali patatangazwa muda si mrefu.Mkutano uliudhuliwa na wanajumuiya wengi na mambo mbalimbali yalijadiliwa. Mkutano ufuatao utafanyika jumanos ya terehe 2 Aprili pale pale kwenye South Indian Restaurant & Fast Food, via principe Amedeo 70, mitaa ya Termini Station.Watanzania wote wenye kupenda kusherekea muungano wa nchi yetu na wanaopenda kujivunia siku ya Mtanzania mnakaribishwa kuleta mawazo yenu juu ya hii siku ili kuipendezesha zaidi. Dondosa ndogo ndogo zinasema kuwa, siku hiyo hiyo, kutakuwa na maonyesho ya mavazi ya Tanzania, vyakula vya kitanzania, mziki wa kitanzania,bahati na simu itachezeshwa ambapo ticket zitaanza kuuzwa muda si mrefu ambapo washindi watajinyakulia simu ya mkononi na Camera digital.

No comments:

Post a Comment