
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania Rome, Mh. LEONCE UWANDAMENO pamoja na mwenyekiti wa ASSOCIAZIONE DI COOPERAZIONE E DIPLOMAZIA POPOLARE, Mh. FASOLI ANNA SARA tarehe 3 Januari 2011, walisaini mkataba wa ushirikiano kwenye project iitwayo WAMAMA yenye lengo la kusaidia kupunguza umasikini Njombe, nchini Tanzania, na zaidi kusaidia kuwanyanyua wakina mama wanaokumbwa na matatizo mbalimbali ya kimaisha. Makubaliano pia yanalenga kusaidia vilema ambao wanashindwa kujinyanyua kimaendeleo kutokana na kutokuwepo na miundombinu ya kutosha. Mwaweza kuitambelea hii NGO kwa kupitia mtandao wao hapa: http://www.gondwanasud.org/j/
JINA LANGU iBRAHIM UWANDAMENO NACHUKUA NAFASI HII KUWA PONGEZA NDUGU ZETU MLIOPO NJE YA NCHI KWA KUANDA MIPANGO ENDELEVU KWA KUWAINUA NDUGU ZETU WALIOPO KATIKA HALI NGUMU MYA KIMAISHA TU NYUMA YENU KWA KILA JAMBO MLIFANYOLO MWENYEZI MUNGU AWAPE MOYO WA UJASIRI MSIKATISHWE TAMAA SONGENI MBELE ZAIDI.
ReplyDelete