
Uongozi wa Watanzania Modena, unapenda kuwakaribisha Wanajumuiya wa Jumuiya ya Watanzania Rome na watanzania wote kwa ujumla kwenye mkesha wa Mwaka Mpya utakaofanyika mjini Modena tarehe 31/12/2010. Sherehe zitafanyika kwenye ukumbi wa BIBLIOTECA WA DADA Castelfranco Emilia, kuanzia saa moja usiku Hadi saa saba usiku. Kwa Maelezo zaidi mnaweza kumtafuta Ndugu Mwinyimwaka kwa simu namba 3403475405.Mwaliko umeletwa kwenu na ndugu Mwinyimwaka.
No comments:
Post a Comment