Pages

log with Fire

WELCOME TO TANZANIA
Tanzanian Community in Rome, Via GIUSEPPE DI VITTORIO 9, 00067 MORLUPO, Rome, Italy -- Sasa Mnaweza kuweka Michango yenu ya mwezi kwenye account ya Jumuiya: Banki ya Posta:Associazione dei Tanzaniani a Roma Acc. Number 000007564174 Codice Fiscale: 97600810580 ---

welcome to Tanzania

TANZANIAN COMMUNITY IN ROME (TZ-RM,) is a community that unites TANZANIANS living in Rome and those living outside of Rome who have read, understood and accepted the content of its Constitution and hence becoming part of the community's family. Tanzanian Community in Rome is a fruit of the well designed ideas, approved by all community members at the Community's First General Meeting held on the 30th January, 2010. It is a non-political, non-religious, non-ethnical and non-gender based kind of organization. It is a community that democratically, accepts and respects different ideas from all its members without any sort of segregation.

Tanzanian Community in Rome counts alot on members monthly contributions in order to keep the community alive.But all in all, it appreciates any sort of contribution from anyone.

Sunday, October 24, 2010

ROME: Misa ya Kumuombea Baba wa Taifa na kuiombea Tanzania kwenye Uchaguzi Mkuu

Umoja wa Wanafunzi Wakatoliki Watanzania Roma pamoja na baadhi ya Wanajumuiya wa Jumuiya ya Watanzania Rome, wakiongozwa na ujumbe maalum toka kwa Mwenyekiti Mh. Leonce Uwandameno na Mwenyekiti msaidizi Mh. Erasmus Pindu Luhoyo, walijumuika pamoja collegio San Pietro asubihi ya leo (24/10/2010) Kushiriki kwenye Misa Takatifu ya kumuombea Baba wa Taifa kwenye adhimisho lake la miaka kumi na moja (11) tokea kifo chake na kuiombea Tanzania kwenye Uchaguzi Mkuu wa Tarehe 31 Oktoba 2010.Shughuli nzima ilianza na misa mnamo saa tano asubuhi ambayo iliongozwa na Baba ASKOFU wa Jimbo Katoliki la Tunduru-Masasi, CASTOR PAUL MSEMWANA na baadae kufuatiwa na chakula cha mchana.

Tokea kushoto ni Baba Askofu Castor Paul Msemwa akisalimiana na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania Rome, Mh. Leonce Uwandameno na katikati ni mwenyekiti wa Umoja wa Wanafunzi Wakatoliki Roma, Fr. Nicodemus Hindoy.

Mjumbe wa Jumuiya ya Watanzania Roma, Dr. Boniface Mhella akipata picha ya Pamoja ya ukumbusho na baba Askofu pamoja na viongozi wa Juu wa Jumuiya za watanzania.

Wakati wa Misa ya kumuombea Baba wa Taifa pamoja na kuiombea Tanzania kwenye uchaguzi Mkuu wa tarehe 31 Oktoba 2010.

1 comment:

  1. Naitwa Malkiory William Matiya,ningependa kuwasiliana na Fr. Nicodemus Hindoy ambaye nilikutana naye kwa mara ya kwanza Mlale JK mwaka 1991. Ilikuwa ikiitwa Operesheni miaka 30 ya Uhuru. Kwa kweli ni muda mrefu sijapata kuonana wala kuwasiliana naye japo tulikuwa wote hodari kwa kilimo pale jeshini Mlale Songea. Kwa yeyote mwenye mawasiliano yake naomba aniandikie kwa email ifuatayo: malkiory@gmail.com

    ReplyDelete