Pages

log with Fire

WELCOME TO TANZANIA
Tanzanian Community in Rome, Via GIUSEPPE DI VITTORIO 9, 00067 MORLUPO, Rome, Italy -- Sasa Mnaweza kuweka Michango yenu ya mwezi kwenye account ya Jumuiya: Banki ya Posta:Associazione dei Tanzaniani a Roma Acc. Number 000007564174 Codice Fiscale: 97600810580 ---

welcome to Tanzania

TANZANIAN COMMUNITY IN ROME (TZ-RM,) is a community that unites TANZANIANS living in Rome and those living outside of Rome who have read, understood and accepted the content of its Constitution and hence becoming part of the community's family. Tanzanian Community in Rome is a fruit of the well designed ideas, approved by all community members at the Community's First General Meeting held on the 30th January, 2010. It is a non-political, non-religious, non-ethnical and non-gender based kind of organization. It is a community that democratically, accepts and respects different ideas from all its members without any sort of segregation.
Tanzanian Community in Rome counts alot on members monthly contributions in order to keep the community alive.But all in all, it appreciates any sort of contribution from anyone.

Wednesday, July 21, 2010

Mkutano wa Msiba wa Marehemu Hamisi Abdallah George (Mmakua) Tarehe 22 July 2010

Jana jioni (20/07) Watanzania waishio Rome walikutana kuomboleza kifo cha marehemu Hamis George Abdalah ajulikanae na wengi kama Mmakua kilichotokea siku ya jumapili 18/07 jioni pale kwenye hospitali ya San Camillo na kujadili namna ya kuraise fund za kuwezesha usafirishwaji wa mwili wa marehemu kwenda nchini Tanzania kupumzika kwa amani. Wote kwa pamoja tunaombwa tujumuike siku ya alhamisi 22/07 kwenye mtaa wa Principe Amedeo 70, ilikufanikisha zoezi la michango. Kwa wale ambao hawataweza kufika alhamisi mnaweza kufikisha michango yenu kwa Mweka Hazina ndugu Awadhi kwa namba hii 3458352262 au katibu ndugu Andrew Chole Mhella kwa namba hii 3479094800 au katibu msaidizi Bi. Diana Olotu 3314653761 apatikanae kwenye ofisi za ubalozi wa Tanzania nchini Italy.

No comments:

Post a Comment