
Napenda kuwajulisha kuwa nime
iredesign blog yetu ya Jumuiya ya Watanzania Rome kama mnavyoiona sasa hivi. Hii yote ni kwenye kuipendezesha na kuiwekea mvuto ilipale inapotembelewa na wadau waweze kupata kitu roho yapenda. Nakaribisha maoni yenye lengo la kujenga na si kubomoa.
Asanteni.
Mr.Andrew Chole MhellaKatibu wa Jumuiya ya Watanzania Rome
Ndugu Katibu, Napenda kuwapongeza kwa design yenu mpya. Mimi ni mdau mkubwa wa blog ya jumuiya yenu. Nimategemeo yangu kuwa design hii itaambatana na habari nyingina mapicha motomoto. Mdau Modena.
ReplyDelete