Pages

log with Fire

WELCOME TO TANZANIA
Tanzanian Community in Rome, Via GIUSEPPE DI VITTORIO 9, 00067 MORLUPO, Rome, Italy -- Sasa Mnaweza kuweka Michango yenu ya mwezi kwenye account ya Jumuiya: Banki ya Posta:Associazione dei Tanzaniani a Roma Acc. Number 000007564174 Codice Fiscale: 97600810580 ---

welcome to Tanzania

TANZANIAN COMMUNITY IN ROME (TZ-RM,) is a community that unites TANZANIANS living in Rome and those living outside of Rome who have read, understood and accepted the content of its Constitution and hence becoming part of the community's family. Tanzanian Community in Rome is a fruit of the well designed ideas, approved by all community members at the Community's First General Meeting held on the 30th January, 2010. It is a non-political, non-religious, non-ethnical and non-gender based kind of organization. It is a community that democratically, accepts and respects different ideas from all its members without any sort of segregation.
Tanzanian Community in Rome counts alot on members monthly contributions in order to keep the community alive.But all in all, it appreciates any sort of contribution from anyone.

Friday, March 12, 2010

Mwaliko wa Kuhudhulia misa ya kumpongeza Baba Askofu Mteule Novatus Rugambwa

Rome: Watanzania wote muishio Rome na Italia kwa ujumla mnakaribishwa kwenye misa ya tarehe 21 March 2010 kwaajiri ya kumpongeza Askofu mteule na Nunzio mteule Novatus Rugambwa itakayofanyika COLLEGIO SAN LORENZO da BRINDIZI kwenye Via della Pisana - Circonvolazione occidentale no. 6850- G.R.A km 65.050.. Misa itaanza saa 4.30 asubuhi, lakini inafaa tufike kabla ili tunapoanza tunakuwepo wote.

Namna ya Kufika:

Kutokea Vatican (Piazza Paola)chukua bus 881 hadi kituo cha mwisho. Toka hapo chukua bus 808 hadi kituo cha Pisana G.R.A kabla ya daraja la G.R.A, halafu nyoosha moja kwa moja kwa miguu kupita mapipa ya takataka, acha geti la kulia na fuata njia ya miguu hadi geti la chuo. (Au subiri kwenye kituo cha mwisho 881 kuna gari itawafuata saa 2.30 asubuhi (saa mbili na nusu) na saa tatu na nusu asubuhi).
Au: kwa watakaokuja na Metro - shuka Cornelia na tokea mlango wa Aurelia halafu simama mbele ya MacDonald. Kutakuwa na gari la kuwachukua pale ambaye itaondoka Cornelia saa 2.15 (saa mbili na robo juu ya alama). Na awamu ya pili itakuwa saa 3.15 (saa tatu na robo).

Kwa wakaokuja na magari:
a)kwa kutokea Gregorio Settimo - Via TorreRosa-Via Braveta, Via della Pisana ingia G.R.A kama mita 400 kulia geti la kwanza kabla ya kituo cha mafuta.
b)Dalla Aurelia - entra G.R.A, Uscita 33 ingia kituo cha mafuta Area servizio Pisana - halafu piga simu no. 333-931-2559
c) Kutokea Magliana - Uscita 33 - moja kwa moja Aurelia - Pisana - bana kulia kabla ya Area servizio Pisana Interna kuna geti kulia - utakuwa umefika San Lorenzo da Brindisi.

Hii ni short History ya Baba Askofu Rugambwa
Date Age Event Title
8 Oct 1957 52.41 Born Bukoba, Tanzania
6 Jul 1986 28.7 Ordained Priest Priest of Bukoba, Tanzania
6 Feb 2010 52.3 Appointed Titular Archbishop of Tagaria
6 Feb 2010 52.3 Appointed Apostolic Nuncio to São Tomé and
Príncipe
20 Feb 2010 52.4 Appointed Apostolic Nuncio to Angola
18 Mar 2010 52.4 Ordained Bishop Titular Archbishop of Tagaria

No comments:

Post a Comment