
Leo usiku washindi wawili wa Supernalotto wamepatikana baada ya miezi sita ya bila bila. Mpaka jioni dau lilikuwa limefikia euro milioni 139,1. kwahiyo kutokana na washindi kuwa wawili wamelazimika kugawana dau nusu kwa nusu, kwa hivyo basi kila mmoja kujinyakulia euro milioni 70. Washindi hawa wametokea Parma na Pistoia. Baada ya ushindi huu wa leo dau linaanzia euro 32.800.000.
No comments:
Post a Comment