

Kesho patakuwa hapatoshi ndani ya uwanja wa San Siro ambapo patakuwa na mechi kali sana ya watani wa Jadi Inter na AC Milan. Mechi itaanza saa Mbili na dakika arobaini na tano (20:45). Kama itawezekana ntawapatia michongo namna gani mnaweza kuangalia game Live kupitia mtandao!
Hivi ndivyo tunavyotegemea kuona timu mbili uwanjani.
Inter (4-3-1-2): Julio Cesar; Maicon, Lucio, Samuel, Santon; Zanetti, Cambiasso, T. Motta; Sneijder; Pandev, Milito.
Benchi: Toldo, Materazzi, Balotelli, Cordoba, Carlsen, Quaresma, Arnautovic. Kocha.: Mourinho
Hawatakuwepo kwenye mechi: Eto'o, Khrin, Chivu, Stankovic, Muntari, Thiago Motta
Milan (4-3-3): Dida; Abate, Nesta, Thiago Silva, Antonini; Gattuso, Pirlo, Ambrosini; Beckham, Borriello, Ronaldinho.
Benchi: Abbiati, Favalli, Jankulovski, Seedorf, Flamini, Inzaghi, Huntelaar. Kocha.: Leonardo
Hawatakuwepo kwenye mechi: Pato, Oddo, Onyewu, Adiyah, Zambrotta
No comments:
Post a Comment