
Kwenye ufunguzi wa mashindano ya AFRICAN CUP OF NATIONS 2010, waandaaji Angola jana walilazimishwa kutoka sale na MALI kwenye mechi ya aina yake ambapo ANGOLA walikuwa wanaongoza 4-0 mpaka dakika nne za mwisho ambapo MALI walisawazisha magoli yote manne.
No comments:
Post a Comment