
RICKY.J.G.BONDO
PROMOTION AND ENTERTAINMENTS
NAPENDA KUOMBA RADHI KWA KUTOWEZA KUFANIKISHA CONCERT YA MSANII WETU KUTOKA BONGO.. RAY.C.. AMBAE ILIKUWA AJE KUFANYA ONYESHO TAREHE.. 19-12-09 MJINI ROMA. BAADA YA PROMOTION TOUR YA MSANII RAY C, AMBAYO ILIHUSISHA MIJI YA AMSTERDAM,ROTERDAM,STOCKHOLM, ANTRAPE, KWA BAHATI MBAYA NILISHINDWA KUFANIKISHA KUMLETA MJINI ROME. NAHAIDI KUWA MWAKA UJAO KUTAKUWA NA TAMASHA NZURI NIKISHIRIKIANA NA TANZANIAN COMMUNITY IN ITALY (ROME, NAPOLI NA MODENA) SEEWEAR STYLE,GFAMILY PRODUCTION, NA MSAADA WA NGUVU SANA KUTOKA KWA Ndg. ANDREW C. MHELLA NA Ndg.MWINYIMWAKA HATIBU
NAWATAKIA SIKUKUU NJEMA NA HERI YA MWAKA MPYA
DIRECTOR:RICKY.JOHNSON.GEORGE. BONDO
No comments:
Post a Comment