
Kama unatokea Stesheni Termini chukua METRO A (Direzione BATTISTINI) kwa vituo 6. Shuka kwenye kituo cha Ottaviano - S.Pietro, halafu tembea kwa mita 100 mpaka kwenye kituo cha Basi cha OTTAVIANO MA. kwenye Kituo hicho chukua Bus No. 32 linaloelekea (TOR DI QUINTO. Utakakiwa kushuka baada ya vituo 8 kwenye kituo cha LGT M.LLO DIAZ/DE BOSIS. Baada ya hapo chukua Bus No.301 liendalo (GROTTAROSSA/ISTITUTO ASISIUM) kwa vituo 18 shuka kwenye kituo cha GROTTAROSSA/CASTIGLIONE, halafu kwa mguu chukua mtaa wa Via Fontaniletto mpaka mwisho wake utakutana na mtaa wa ukumbi VIA CASALATTICO 6. Kwa mguu ni mwendo wa kama mita 300.
No comments:
Post a Comment