Watanzania wote wa Mjini Rome na wengineo waishio Italia, mnakaribishwa kufika kwenye kikao cha tatu cha msiba wa marehemu Moses Kiumbi kitakachofanyika siku ya alhamis tarehe 29 oktoba 2009, saa kumi na Moja jioni kwenye Ofisi za mwenyekiti Mtaa wa Machiavelli 61. Tunawaomba mjitokeze kwa wingi ili tuweze kufanikisha maandalizi ya kumsafirisha marehemu. Kwa wale ambao kwa sababu moja au nyingine hawajatoa mchango wao mnakaribishwa mje msaidie ili ndugu yetu akapumzike mchini Tanzania. Kwa maelezo zaidi mnaweza kutuandikia kupitia e-mail hii watanzaniaroma@yahoo.it.
Asanteni. Katibu
Pages
welcome to Tanzania
TANZANIAN COMMUNITY IN ROME (TZ-RM,) is a community that unites TANZANIANS living in Rome and those living outside of Rome who have read, understood and accepted the content of its Constitution and hence becoming part of the community's family. Tanzanian Community in Rome is a fruit of the well designed ideas, approved by all community members at the Community's First General Meeting held on the 30th January, 2010. It is a non-political, non-religious, non-ethnical and non-gender based kind of organization. It is a community that democratically, accepts and respects different ideas from all its members without any sort of segregation.
Tanzanian Community in Rome counts alot on members monthly contributions in order to keep the community alive.But all in all, it appreciates any sort of contribution from anyone.
Tanzanian Community in Rome counts alot on members monthly contributions in order to keep the community alive.But all in all, it appreciates any sort of contribution from anyone.
No comments:
Post a Comment