Pages

log with Fire

WELCOME TO TANZANIA
Tanzanian Community in Rome, Via GIUSEPPE DI VITTORIO 9, 00067 MORLUPO, Rome, Italy -- Sasa Mnaweza kuweka Michango yenu ya mwezi kwenye account ya Jumuiya: Banki ya Posta:Associazione dei Tanzaniani a Roma Acc. Number 000007564174 Codice Fiscale: 97600810580 ---

welcome to Tanzania

TANZANIAN COMMUNITY IN ROME (TZ-RM,) is a community that unites TANZANIANS living in Rome and those living outside of Rome who have read, understood and accepted the content of its Constitution and hence becoming part of the community's family. Tanzanian Community in Rome is a fruit of the well designed ideas, approved by all community members at the Community's First General Meeting held on the 30th January, 2010. It is a non-political, non-religious, non-ethnical and non-gender based kind of organization. It is a community that democratically, accepts and respects different ideas from all its members without any sort of segregation.

Tanzanian Community in Rome counts alot on members monthly contributions in order to keep the community alive.But all in all, it appreciates any sort of contribution from anyone.

Friday, October 23, 2009

Habari za Msiba Roma

Jumuiya ya Watanzania Tawi la Roma inasikitisha kutangaza kifo cha ndugu Moses Khamis Kiumbi, kilichotokea Jana usiku, tarehe 22 Oktoba 2009, kwenye hospitali ya Policlinico Umberto I hapa mjini Roma. Kifo cha ndugu Musa kilisababishwa na ajali aliyopaita ya kuteleza wakati anashuka kwenye basi na kugonga kichwa tarehe 17 Oktoba 2009. Mikakati ya kuwezesha kumsafirisha marehemu inafanyika. Ndugu Watanzania Popote pale mlipo mnakaribishwa kutoa rambi rambi zenu ili kuwezesha kumsafirisha ndugu yetu aweze kwenda kupumzika nchini Tanzania. Kwa kutoa rambi rambi tafadhali piga simu hizi. Mwenyekiti Jumuiya Tawi la Roma 0039-3318286670 au Katibu wa Jumuiya Tawi la Roma 0039-3479094800. Habari zaidi tutawapatieni baadae.

No comments:

Post a Comment