Pages

log with Fire

WELCOME TO TANZANIA
Tanzanian Community in Rome, Via GIUSEPPE DI VITTORIO 9, 00067 MORLUPO, Rome, Italy -- Sasa Mnaweza kuweka Michango yenu ya mwezi kwenye account ya Jumuiya: Banki ya Posta:Associazione dei Tanzaniani a Roma Acc. Number 000007564174 Codice Fiscale: 97600810580 ---

welcome to Tanzania

TANZANIAN COMMUNITY IN ROME (TZ-RM,) is a community that unites TANZANIANS living in Rome and those living outside of Rome who have read, understood and accepted the content of its Constitution and hence becoming part of the community's family. Tanzanian Community in Rome is a fruit of the well designed ideas, approved by all community members at the Community's First General Meeting held on the 30th January, 2010. It is a non-political, non-religious, non-ethnical and non-gender based kind of organization. It is a community that democratically, accepts and respects different ideas from all its members without any sort of segregation.

Tanzanian Community in Rome counts alot on members monthly contributions in order to keep the community alive.But all in all, it appreciates any sort of contribution from anyone.

Tuesday, July 21, 2009

Kuona Wanyama sio Mpaka Upande "Pipa" kwenda Africa











Kuona wanyama sio mpaka uende mbali ya Bara ya Ulaya, hata hapa Roma unaweza kuwaona wanyama wa aina mbali mbali kama vile: Simba, Chui, Twiga, Pundamilia, Nyani na n.k. Unaweza kuwaona kwenye Park (Zoo) iliyopo Viale del Giardino Zoologico 20 iliyopo karibia na Villa Bolghese kwa kulipia euro kumi tu kwa mtu mzima na euro 8 kwa watoto wasiozidi urefu wa mita moja na wale waliozidi miaka kumi na mbili . Mimi nilipata kutembelea na nikajionea wanyama wengi. Kwa masaa mawili sikuweza kuwamaliza. Nilifanikiwa kupiga baadhi ya Picha.

No comments:

Post a Comment