
Michael Jackson, mfalme wa mda wote wa mziki pop amefariki dunia kwa Heart Failure usiku wa kuamkia leo kwa masaa ya GMT. Habari zilianza kusambaa kidogo kidogo mpaka baadae kutandazwa rasmi na vituo vikubwa vya news CNN na BBC na baadae na ndugu zake mwenyewe Michael Jackson. Michael alianguka gafla akiwa nyumbani kwake beverly Hills na kabla hata ya kufika watu wa first aid alikuwa ameshafairiki. Michael atakumbukwa kuwa ndio mwanamziki bora duniani kote kwa kuuza album 'Thriller'. Mungu ailaze Roho yake mahali pema peponi. Amen.
No comments:
Post a Comment