
Msanii wa mziki wa Kizazi kipya, ujulikanao zaidi kama Bongo Flava, Alikiba mwaka huu ameweza kutia History nchini Italy kwa kuwa ni mwanamziki wa kwanza wa Bongo Flava kuja na kutumbuiza wapenzi wa Mziki wa Bongo Flava mjini Napoli mwezi wa nne 2009. Nadhani huu ni ufunguo wa wasanii wengine kuja na kututumbuiza sisi tulio mbali na nyumbani.
No comments:
Post a Comment