MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi
Kisutu, Dar es Salaam, leo imewaachia huru aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini
Italia, Profesa Costa Mahalu pamoja na afisa utawala Mrs. Grace Martin.
Balozi Mahalu pamoja na Mrs. Grace Martin walikuwa wanakabiliwa na
kesi ya uhujumu uchumi na kuisababishia Serikali hasara ya zaidi ya Sh bilioni
mbili.
Kesi hii ambayo ilikuwa inafuatiliwa kwa ukaribu na Watanzania wengi haswa nchini Italia ilichukua muda mrefu mpaka kufikia leo siku ya hukumu!
Jumuiya ya Watanzania Roma inawapongeza Balozi Mahalu na Mrs. Grace Martin kwa ushindi waliupata zidi ya tuhuma zilizokuwa zinawakabiri.
Mrs. Grace Martin akisikilizia kwa umakini hukumu kutoka kwa hakimu ndani ya mahakama.
Wapili kutoka kushoto ni mtoto wa Balozi Mahalu, Ricky Mahalu alisikilizia hukumu ya baba yake.
Kesi hii ambayo ilikuwa inafuatiliwa kwa ukaribu na Watanzania wengi haswa nchini Italia ilichukua muda mrefu mpaka kufikia leo siku ya hukumu!
Jumuiya ya Watanzania Roma inawapongeza Balozi Mahalu na Mrs. Grace Martin kwa ushindi waliupata zidi ya tuhuma zilizokuwa zinawakabiri.
Humu ndani ndipo hukumu ilipokuwa ikisikilizwa.
Balozi Mahalu akiwa ndani ya mahakama muda mfupi kabla hukumu haijasomwa.
Wapili kutoka kushoto ni mtoto wa Balozi Mahalu, Ricky Mahalu alisikilizia hukumu ya baba yake.
No comments:
Post a Comment