TANGAZO KWA WATANZANIA MODENA NA VITONGOJI VYAKE
WANAJUMUIYA WOTE WA MJINI MODENA NA VITONGOJI VYAKE, MNAFAHAMISHWA KUWA, KUTAKUWA NA UGENI WA BALOZI WA TANZANIA NCHINI ITALIA. BALOZI WA TANZANIANCHINI ITALIA, MHESHIMIWA JAMES MSEKELA ATAKUWA HAPA WILAYANI
MODENA KUANZIA IJUMAA MCHANA (20JULAI 2012) HADI JUMAPILI (22 JULAI 2012)ILI KUWAONA WATANZANIA
WAISHIO HAPA NA VITONGOJINI KWENYE ZIARA YAKE ATAKUTANA NA MAYOR WA
CASTELFRANCO EMILIA NDUGU STEFANO REGIANINI NA VIONGOZI WA JUMUIYA ZA
KITALIANI.
UJUMBE KUTOKA KWA MHESHIMIWA MWINYIMWAKA, KATIBU WA JUMUIYA YA WATANZANIA MODENA.
No comments:
Post a Comment