Pages

log with Fire

WELCOME TO TANZANIA
Tanzanian Community in Rome, Via GIUSEPPE DI VITTORIO 9, 00067 MORLUPO, Rome, Italy -- Sasa Mnaweza kuweka Michango yenu ya mwezi kwenye account ya Jumuiya: Banki ya Posta:Associazione dei Tanzaniani a Roma Acc. Number 000007564174 Codice Fiscale: 97600810580 ---

welcome to Tanzania

TANZANIAN COMMUNITY IN ROME (TZ-RM,) is a community that unites TANZANIANS living in Rome and those living outside of Rome who have read, understood and accepted the content of its Constitution and hence becoming part of the community's family. Tanzanian Community in Rome is a fruit of the well designed ideas, approved by all community members at the Community's First General Meeting held on the 30th January, 2010. It is a non-political, non-religious, non-ethnical and non-gender based kind of organization. It is a community that democratically, accepts and respects different ideas from all its members without any sort of segregation.

Tanzanian Community in Rome counts alot on members monthly contributions in order to keep the community alive.But all in all, it appreciates any sort of contribution from anyone.

Thursday, May 31, 2012

WASANII WA BONGO FLAVA KIDOGO KIDOGO WANAANZA KUFIKIA MALENGO YAO

Mziki wa bongo flava ambao ulianza kusikika nchini Tanzania katikati ya miaka ya 90, sasa hivi umeweza kupiga hatua kubwa na kupata mashabiki wengi sio tu ndani ya nchi, bali hata nje ya Tanzania. Wakati mziki huu ulipokuwa unaanza, watu wengi waliuchukulia kama ni mziki wa kiuni na upoteshao nidhamu kwa vijana. Sasa hivi, mziki huu umekuwa moja ya vitu ambavyo vinachangia kwa asilimia kubwa sana kuitangaza nchi yetu ya Tanzania. Mziki huu huu ambao ulikuwa ukipingwa sana na wazee kipindi unaanza kusambaaa, wazee hao hao sasa hivi ingawa sio wote, wanaupenda na kuuthamini! Mziki huu kwa kipindi hichi ambapo dunia inakabiliwa na muanguko wa uchumi,ndio unawapa vijana ajira. Kwa maana nyingine, badala ya vijana kukaa vijiweni bila kazi, vijana ujishughulisha na huu mziki. Katikati ya miaka hiyo ya tisini ni watu wachache tu ambao walifikiria kama mziki huu ungeweza kumfanya msanii ajenge nyumba na kuwa na mali nyingi ambazo zimetokana na jasho lao hawa wanamuziki. Mara nyingi wanamuziki hawa wa bongo flava wanatengeneza hela zao kupitia uuzaji wa album zao, ufanyaji wa concerts na wengine waliobahatika uingia mkataba na mashirika kufanya matangazo, japo wanakumbwa na challenge kubwa ambazo zinawarudisha nyuma kama vile utapeli wa mapromota na swala zima la Haki Miliki! Enjoy Show ya Msanii ambaye kwa sasa ni Top nchini Tanzania, Diamond Platnumz Akiwa kwenye Big brother (Reality Show) nchini South Africa.

No comments:

Post a Comment