Pages

log with Fire

WELCOME TO TANZANIA
Tanzanian Community in Rome, Via GIUSEPPE DI VITTORIO 9, 00067 MORLUPO, Rome, Italy -- Sasa Mnaweza kuweka Michango yenu ya mwezi kwenye account ya Jumuiya: Banki ya Posta:Associazione dei Tanzaniani a Roma Acc. Number 000007564174 Codice Fiscale: 97600810580 ---

welcome to Tanzania

TANZANIAN COMMUNITY IN ROME (TZ-RM,) is a community that unites TANZANIANS living in Rome and those living outside of Rome who have read, understood and accepted the content of its Constitution and hence becoming part of the community's family. Tanzanian Community in Rome is a fruit of the well designed ideas, approved by all community members at the Community's First General Meeting held on the 30th January, 2010. It is a non-political, non-religious, non-ethnical and non-gender based kind of organization. It is a community that democratically, accepts and respects different ideas from all its members without any sort of segregation.

Tanzanian Community in Rome counts alot on members monthly contributions in order to keep the community alive.But all in all, it appreciates any sort of contribution from anyone.

Thursday, April 12, 2012

MKUTANO WA MAANDALIZI YA SHEREHE YA MUUNGANO NA UTAMADUNI WA MTANZANIA ROMA

Uongozi wa Jumuiya ya Watanzania Roma, unapenda kuwajulisha wanajumuiya wote na Watanzania kwa ujumla muishio mjini Roma na sehemu mbalimbali nje ya Roma kuwa, jumamosi tarehe 14 mwezi huu wa nne, kutakuwa na mkutano mkuu wa maandalizi ya sherehe ya muungano wa Tanzania na utamaduni wa Mtanzania, mjini Rome kwenye Indian Restaurant (South Indian Restaurant & Fast Food) MAENEO YA TERMINI, Mtaa wa Via Principe Amedeo 70, kuanzia saa tisa mchana. Mnaombwa mzingatie muda ili kikao kiende vizuri.
Yatakato jadiliwa kwenye kikao ni haya:
  • Kuhusu Michango
  • Kuhusu Ukumbi
  • Wageni waarikwa
  • Kugawana majukumu ili sherehe iweze kwenda vizuri and mengineyo.

Kwa maelezo zaidi tafadhali walianana katibu ndugu Andrew Chole Mhella kwa simu hii 3479094800 au kwa e-mail watanzaniaroma@yahoo.it.

Mungu Ibariki Tanzania, Mungu Ibariki Jumuiya ya Watanzania Roma.

Kutoka kwenye kumbukumbu zetu- hii ni picha iliyopigwa mwaka jana kwenye sherehe za muungano na Utamaduni wa Tanzania uliofanyika kwenye ukumbi wa Ubalozi wa Tanzania Italy, mjini Rome. Hapa ni watanzania wakijiandaa muda mfupi kabla ya fashion show.

No comments:

Post a Comment