![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh0RfIKHoAJfQTzGt3RCydcDPkVmDDMGQr98br2mfGm_NGaFpaO2QFEuOvqSCA6H4ErSE011NgEXe7CqS6nKkPTxwEWJdHLtYTRJAab3nD6cyPzk9SFzrRhDuVMKY3H7LIdwjBFk-Ihd0J3/s400/AZIZ.png)
Jumuiya ya Watanzania Rome imepokea kwa masikitiko sana habari za kifo cha Mh. Aziz Sheween kilichotokea huko Saudi Arabia alikokuwa anafanya kazi kwenye ubalozi wa Tanzania baada ya kuamishwa kutoka ubalozi wa Tanzania Italy. Jumuiya ya Watanzania Rome itamkumbuka Mheshimiwa Aziz kwa ucheshi wake, kujichanga kwake na kila mtu bila kubagua watu, upendo wake aliokuwa nao kwa Watanzania hapa mjini Rome na Italy kwa ujumla na msaada wake mkubwa wa kuisaidia Jumuiya kwenye shughuli mbalimbali ambazo jumuiya ilikuwa imekwama. Mwenyezi mungu amlaze mahala pema peponi kaka yetu Aziz amina.
No comments:
Post a Comment