Hapa Bwana mdogo Timoteo baada ya kupata Komunio ya Kwanza akiwa na Baba yake Mh. Leonce Uwandameno(Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania Roma)
Baadhi ya Watanzania walioshiriki kwenye shughuli hii.
Kwa niaba ya Jumuiya ya Watanzania Rome, nachukua nafasi hii kumpongeza mtoto Timoteo Uwandameno ambaye ni mtoto wa mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania Rome kwa kupata sacramenti ya Komunio ya Kwanza hapo jana 14/05/2011 mjini Rome kwenye kanisa la San Benedetto. Mungu akubariki na akulinde uweze kupata sakramenti zingine zitakazo kuja mbele yako.
Andrew Chole Mhella,
Katibu
No comments:
Post a Comment