Flowers zilishine kwenye sherehe kama mnavyoona.
Mariam, Mama J na Papà J
Dada Evelyn ambaye ndio alikuwa mshindi wa kwanza wa bahati nasibu akishangilia kwa style yake pekee.
Mwenyekiti nae akucheza mbali alitoka na style ya kipogolo!
Dj Khalifa moja kwa moja toka ujerumani akifanya vitu vyake!
No comments:
Post a Comment