Pages

log with Fire

WELCOME TO TANZANIA
Tanzanian Community in Rome, Via GIUSEPPE DI VITTORIO 9, 00067 MORLUPO, Rome, Italy -- Sasa Mnaweza kuweka Michango yenu ya mwezi kwenye account ya Jumuiya: Banki ya Posta:Associazione dei Tanzaniani a Roma Acc. Number 000007564174 Codice Fiscale: 97600810580 ---

welcome to Tanzania

TANZANIAN COMMUNITY IN ROME (TZ-RM,) is a community that unites TANZANIANS living in Rome and those living outside of Rome who have read, understood and accepted the content of its Constitution and hence becoming part of the community's family. Tanzanian Community in Rome is a fruit of the well designed ideas, approved by all community members at the Community's First General Meeting held on the 30th January, 2010. It is a non-political, non-religious, non-ethnical and non-gender based kind of organization. It is a community that democratically, accepts and respects different ideas from all its members without any sort of segregation.

Tanzanian Community in Rome counts alot on members monthly contributions in order to keep the community alive.But all in all, it appreciates any sort of contribution from anyone.

Tuesday, April 26, 2011

Taarifa za Msiba Palermo

WAPENDWA,

TUMSIFU YESU KRISTU. HERI TENA KWA SIKUKUU YA PASAKA.

NAOMBA KUCHUKUA FURSA HII KUWATAARIFU JUU YA KIFO CHA SISTA JULIANA NGUDA (35) MTANZANIA MWENZETU KILICHOTOKEA LEO (26/04/2011) JIONI HUKO PALERMO ALIKOKUWA ANAFANYA UTUME KAMA MWANASHIRIKA WA SHIRIKA LA FAMILIA TAKATIFU - HOLY FAMILY SISTERS. ALIKUWA AMELAZWA CHUMBA CHA WAGONJWA MAHUTUTI AKIWA KATIKA COMA TOKA JUMATATU ILIYOPITA (JUMATATU KUU). YEYE NI MWENYEJI WA SINGIDA. MISA YA MAZISHI ITAFANYIKA HUKO PALERMO KESHO (27/04/2011) MAJIRA YA SAA 9 ALASIRI. MIPANGO YA KUUSAFIRISHA MWILI WA MAREHEMU KWENDA TANZANIA INAFANYWA NA WANASHIRIKA WA SHIRIKA LAKE, HOLY FAMILY SISTERS.

TUNAOMBA KUMWOMBEA ILI MWENYEZI MUNGU AMPOKEE NA KUMPA RAHA KAMILI YA MILELE KATIKA KRISTU MFUFUKA. RAHA YA MILELE UMPE EE BWANA NA MWANGA WA MILELE UMWANGAZIE. APUMZIKE KWA AMANI. AMINA.

TAARIFA HII NIMEIPATA KUTOKA KWA MH. PADRE LISTON LUKOO

PADRI EMMANUEL NYAUMBA

MTUMISHI MDOGO.

No comments:

Post a Comment