
Uongozi wa jumuiya ya Watanzania Roma, unasikitika kuwafahamisheni kuwa ile sherehe yetu ya Muungano wa Tanzania na Utamaduni wa Tanzania ambayo ilipangwa kufanyika tarehe 30 April 2011, imepelekwa mbele mpaka tarehe 21 Mai 2011 kwa sababu zilizo nje ya uwezo wetu. Sherehe itafanyika pale pale kwenye ukumbi wa ubalozi wa Tanzania Italy, Via Cortina d'ampezzo 185 Roma, kuanzia saa tisa mchana. Kwa niaba ya Jumuiya nachukua nafasi hii kuomba radhi kwa usumbufu wa aina yoyote uliojitokeza.Kwa maelezo zaidi tafadhali tuandikieni hapa: watanzaniaroma@yahoo.it.
Andrew Chole Mhella
katibu
No comments:
Post a Comment