
Uongozi wa Jumuiya ya Watanzania Roma(TZ-RM) unapenda kuwafahamisha wanajumuiya wake wote kuwa jumamosi ya tarehe 12 Machi 2011, saa kumi jioni maeneo ya Termini kwenye Mtaa wa Via Principe Amedeo 70a( South Indian Restaurant& Fast Food)kutakuwa na mkutano wa dharura kwaajiri kupangilia maandalizi ya sherehe ya Muungano na siku ya kutangaza utamaduni wa Mtanzania (TANZANIAN CULTURE DAY) jumamosi ya tarehe 30 Aprile 2011. Wote mnaombwa mfike ili kufanikisha kikao.
Upatapo ujumbe huu Mwambie na Mwenzako.Tunaombwa wote tuzingatie muda.
No comments:
Post a Comment