Pages

log with Fire

WELCOME TO TANZANIA
Tanzanian Community in Rome, Via GIUSEPPE DI VITTORIO 9, 00067 MORLUPO, Rome, Italy -- Sasa Mnaweza kuweka Michango yenu ya mwezi kwenye account ya Jumuiya: Banki ya Posta:Associazione dei Tanzaniani a Roma Acc. Number 000007564174 Codice Fiscale: 97600810580 ---

welcome to Tanzania

TANZANIAN COMMUNITY IN ROME (TZ-RM,) is a community that unites TANZANIANS living in Rome and those living outside of Rome who have read, understood and accepted the content of its Constitution and hence becoming part of the community's family. Tanzanian Community in Rome is a fruit of the well designed ideas, approved by all community members at the Community's First General Meeting held on the 30th January, 2010. It is a non-political, non-religious, non-ethnical and non-gender based kind of organization. It is a community that democratically, accepts and respects different ideas from all its members without any sort of segregation.

Tanzanian Community in Rome counts alot on members monthly contributions in order to keep the community alive.But all in all, it appreciates any sort of contribution from anyone.

Tuesday, August 31, 2010

Sherehe za Harusi Za Dr. Boniface Mhella zamalizika vizuri South Africa

Katibu wa Jumuiya ya Watanzania Roma Nd. Andrew Mhella akiwa na bro wake Dr. Boniface na mkwe muda mchache kabla ya sherehe ya harusi mjini Kimberley, South Africa 28th Aug. 2010.
Gari liliowabeba maharusi

Sherehe za harusi ya Dr. Boniface Mhella ambaye ni mjumbe wa jumuiya ya Watanzania Roma, zimekamilika salama mjini Kimberly, South Africa tarehe 28th Aug.2010 baada ya kuanza Mwanza tarehe 21st Aug. 2010. Dr. Boniface anapenda kuwashukuru Wanajumuiya wote waliompa tough kwa namna moja au nyingine.

3 comments:

  1. Buonasera, mi chiamo Parma Ivano e sono il Responsabile legale dell'Associazione ONLUS "ZANZIBAR NEL PALLONE E NON SOLO..."
    (web: www.zanzibarnelpallone.com
    Facebook:
    http://www.facebook.com/pages/Zanzibaroltre-le-spiaggie/54444471070?ref=ts )
    Ho scoperto stasera il Vs. Blog e sono contento,e mi piacerebbe che ci fosse una comunità tanzaniana anche a Milano (dove vivo)...
    Spero di poter contare anche su di voi per far conoscere il ns. impegno a favore dei nostri rafiki a Zanzibar...
    Vista l'ora vi auguro LALA SALAMA...
    Parma Ivano

    ReplyDelete
  2. Cara Parma. Sono contentissimo per il suo interessamento per il nostro blog e la comunità. contatarci via e-mail watanzaniaroma@yahoo.it cosi ci possiamo scambiare qualche idea.Sign. Andrew Mhella- Segretario della comunità Tanzaniana a Roma.!!

    ReplyDelete
  3. Ah jamani... yaani mmeifika hadi kule kwa " KWA ZULU NATAL NA KIMBERLEY" NA KULE PIA MLIMEREMETA!!!?? Mmetuonyesha njia na wengine tutafika hadi windhock sasa! >Na pia wajukuu wote wa mzee Mandela tutajitwalia... of corse kwa ndoa siyo bure bure... Poleni sana dada zetu wa kimatumbi kaka zetu siku hizi wanapeleka nguvu zao kusini zaidi ya Nchumbiji.

    Kwa mara nyingine tunawatakieni kila la heri kwenye furaha hii ya baba kupata mama na mama kupata baba... Aidha tunawangojeeni tena Roma ili mje tushirikiane katika kuijemnga jumuiya yetu ya Watanzania Roma.

    Mdau mpendevu kwenu!

    ReplyDelete