
Kwa niaba ya wanajumuiya wa Jumuiya ya Watanzania Rome tunawatakieni sikuku njema ya kuzaliwa (birthday) Mwenyekiti msaidizi wa Jumuiya ya Tanzania Rome ndugu Erasmus Pindu Luhoyo (15 August) na Katibu Msaidizi Bi. Diana Paul Olotu (16 August). Je tunauliza sherehe wapi!!!!
HERI NYINGI SANA MSTAHIKI MWENYEKITI MSAIDIZI WA JUMUIYA YA WATANZANIA ROMA NDUGU ERASMUS PINDU LUHOYO. TUNAKUPONGEZA KWA KINA NA UTASHI WETU KWA SIKU HIYO YA KUZALIWA KWAKO.
ReplyDeleteMWENYEZI MUNGU AKUJAZE MEMA YAKE NA AKUTIMIZIE YOTE UNAYOYAHITAJI. NDUGU ZAKO WATANZANIA ROMA TUNAKUHITAJI SANA KWENYE JUMUIYA YETU, HASA KWA UONGOZI WAKO MZURI, KWA MICHANGO YAKO YA MAWAZO NA MATENDO, NA ZADI KWA UADILIFU WA MAISHA YAKO YA KILA SIKU... UENDELEE KUWA MFANO NA MHIMILI KATIKA JUMUIYA YETU.
AIDHA TUNAKUMBUKA SANA KAULI MBIU YAKO YA KUWA... nanukuu " TUKIPATA WANAJUMUIYA WACHACHE WENYE MOYO JUMUIYA YETU ITAJENGEKA.." mwisho wa kunukuu. NAMI NAONGEZA KUWA... KULIKO KUWA NA WANAJUMUIYA 1000 WASIOKUWA NA MOYO... TUTAHIFADHI HIZO BUSARA ZAKO ILI ZIWEZE KULETA UFANISI KATIKA KUIJENGA JUMUIYA YETU.
ZAIDI TUNAMSHUKURU MUNGU KWA ZAWADI YA KUWEPO KWAKO KATIKA JUMUIYA YA WATANZANIA ROMA, NA TUNAOMBA MUNGU AKUJALIE UISHI MIAKA MINGI UKAPATE KUONA VIJUKUU, VITUKUU, VILEMBWE NA VILEMBWEKEZA - AMINA!
KWA NIABA YA WANAJUMUIYA WENZANGU NASEMA..
HERI NYINGI SANA KWA SIKUKUU YA KUZALIWA KWAKO, .. BUON COMPLEANNNO NDUGU KINGUNGE NGOMBALE MWIRU WA JUMUIYA YA WATANZANIA ROMA... HAPPY NYINGI SANA YA BIRTHDAY...!!!
I CAN'T HO!!!
Leonce Uwandameno. (MWENYEKITI)
Hahahaha Ongera Sana Mwenyekiti msaidizi...Uzidishiwe miaka mingi zaidi.
ReplyDelete