Pages

log with Fire

WELCOME TO TANZANIA
Tanzanian Community in Rome, Via GIUSEPPE DI VITTORIO 9, 00067 MORLUPO, Rome, Italy -- Sasa Mnaweza kuweka Michango yenu ya mwezi kwenye account ya Jumuiya: Banki ya Posta:Associazione dei Tanzaniani a Roma Acc. Number 000007564174 Codice Fiscale: 97600810580 ---

welcome to Tanzania

TANZANIAN COMMUNITY IN ROME (TZ-RM,) is a community that unites TANZANIANS living in Rome and those living outside of Rome who have read, understood and accepted the content of its Constitution and hence becoming part of the community's family. Tanzanian Community in Rome is a fruit of the well designed ideas, approved by all community members at the Community's First General Meeting held on the 30th January, 2010. It is a non-political, non-religious, non-ethnical and non-gender based kind of organization. It is a community that democratically, accepts and respects different ideas from all its members without any sort of segregation.

Tanzanian Community in Rome counts alot on members monthly contributions in order to keep the community alive.But all in all, it appreciates any sort of contribution from anyone.

Sunday, June 20, 2010

Rome: Mechi Kati ya Ghana na Australia 1-1 yashangiliwa na Wengi


Mashabiki tokea nchi mbalimbali za Africa, jana walikusanyika maeneo ya Termini mjini Rome kussuport team ya Ghana kwenye mechi yake ya pili ya Kombe la dunia inayoendelea huko Africa ya Kusini. Jana Ghana ilicheza na Australia na kulazimishwa droo ya 1-1. Droo hii imeiweka Ghana katika nafasi ambayo sio nzuri sana ukizingatia kwamba mechi ya mwisho itacheza na Germany ambayo ili iendelee itatakiwa kuifunga Ghana. Mungu Ibariki Africa na watu wake. Kunajamaa mmoja kama uonavyokwenye picha aliamua kutumia mbinu za BAGAMOYO kuifanya Ghana ishinde kwa kumuwekea mwenzake kakopo ka nanii kichwani lakini haikusaidia.

Mwenyekiti Msaidizi wa Jumuiya ya Watanzania Rome Mh. Erasmus Luhoyo pamoja na Mweka hazina wa Jumuiya ndg. Awadhi na mjumbe wa kamati ya Burudani ndg. Bakari wakiangalia mechi ya Ghana na Australia kwa pamoja baada ya mkutano wa kamati ya Utendaji hapo Jana mjini Rome.

Viburudisho huku mechi ikiendelea.

No comments:

Post a Comment