

Roma. Juzi jioni (20-06)kwenye mida ya saa moja usiku, kulikuwa na kikao cha mwisho, kabla ya mkutano mkubwa utakaofanyika mjini Roma Tarehe 4 mwezi wa saba. kwenye mtaa wa Via Cassalettico 6, Maeneo ya Cassia -Grottarossa. Kikao kilikuwa na dhumuni la kujadili mikakati muhimu na Kuhusu maandalizi ya mkutano mkuu wa Watanzania waishio Rome. Watanzania wote mnakaribishwa kwa wingi ili kuweza kufanikisha hili zoezi. Kwa yeyote atakaye pendelea kupata maelezo zaidi anakaribishwa kupiga simu: Zuhura33488763 na Andrew 3479094800
No comments:
Post a Comment